JIJI LETU

Friday, January 2, 2015

INAUMA SANA! SOMA UJUMBE HUU ALIOUANDIKA WASTARA WA BONGO MUVI!


"Hii siku ya tal 31 mpka tal 2 January ni siku mbaya sana kwangu unifanya nilie kuliko siku zote uumwa sababu ya mawazo niliambiwa neno ambalo sikuwa tayari kulipokea, marehemu sajuki alisema.nitakufa huku watu bado wanasheherekea mwaka mpya nami nitakufa mwaka mpya alianza kuhesabu saa yake kufa tal 31 na kweli ilipofika tal 1 aliniomba nimtoroshe hosptal nimpelke beach akashike maji ya bahari kwa ya mwisho, ni rahisi sana wew kusoma haya maneno lakini ni maneno mazito na yenye kuchoma moyo wangu kila ifikapo mwaka mpya na siku nyingne si siku zenye furaha kwangu.
 NAWATAKIA FURAHA YA MWAKA MPYA MASHABIKI WANGU.....". Wastara

 Pole sana Wastara, yote ni mipango ya Mungu
at 9:27:00 AM
Newer Post Older Post Home

categories

AFYA AJALI AJIRA BIG BROTHER BONGO MOVIE Bongofleva Bongomovie BUNGENI ELIMU FASHION FIESTA FUMANIZI Habari Za Mitaani HIP HOP Instagram KIMATAIFA KITAIFA MAAJABU Madawa ya kulevya MAGAZETI MAPENZI MBELE MICHEZO RECORD SIASA TECHNOLOGY UDAKU UKATILI UTAFITI VITUKO WASANII WhatsApp Videos

Popular Posts

  • Tazama Picha za WEMA SEPETU Alivyopamba Mapokezi ya Lulu Michael Jana Kutoka Airport....
  • KWA MARA NYINGINE TENA MAGUFULI NA SAMWEL SITA WASHUSHA MAKOMBORA MAZITO KWA LOWASSA
  • NOMA SANA INSTAGRAM HAPATOSHI KABISA , TEAM ALIKIBA WAMPA MAKAVU DIAMOND PLATINUMZ
  • "DIAMOND NI WA "HAPA HAPA" MIMI WA INTERNATIONAL"...!!! BABY MADAHA AFUNGUKA..SOMA ZAIDI HAPA
  • TAZAMA PICHA KUMI KALI ALIZOPIGA MWANADADA MREMBO CORAZONI KWAMBOKA HAPA NI SHIDAA..!!
  • ALIYETIKISA JANA NDANI YA INSTAGRAM HUYU HAPA, NAKUALIKA KUMTAZAMA!!
  • INAUMA SANA! SOMA UJUMBE HUU ALIOUANDIKA WASTARA WA BONGO MUVI!
  • KAMA ULIPITWA: HIKI NDICHOKILICHOTOKEA KWENYE BETHIDEI PARTY YA ZARI JANA USIKU
  • POLISI WA KIKE WAZURI KULIKO WOTE KUTOKA KENYA ZIKO HAPA...NI SHIDAA
  • BAAADA YA LADY JAY DEE KUUMIZWA SANA NA MAPENZI AAMUA KUJIPOZA HIVI
Awesome Inc. theme. Powered by Blogger.