HILI NDILO JIKO LA DIAMOND PLATINUMZ, HAPA ANAMFUNDISHA ZARI KUPIKA MAPISHI YA KIKWETU
Kama hujabahatika kuliona jiko la Diamond Platnumz, Hili hapa nimekusogezea na hapa anaonekana wakati anamfunza Zari Hassan ambaye ni mpenzi wake na mama kijacho wake namna ya kupika Ugali.