Waliomkasirisha ni wale wanaokosoa uvaaji wake na kuendelea kumfatilia ambapo alianza kwa kuandika >>>’Mnikome, maisha yangu yanakuhusu nini wewe, nayako hayanihusu mimi kabisa ata kidogo….oh sijui high heels, mara nguo imembana, sijui anapikia heels,pili pili hujakula wewe inaakuwashia nini? Mvae madera zenu mfunge mkanda mpite kimya kimya. Kwanini unastress????‘
Ameendelea kwa kuandika mengine kwa kiingereza na nitatafsiri kwa wino mwekundu>>> ‘HAYA NI MAISHA YANGU na sasa your all Gods’ judges now…. how many people do we know that wear hijab but have very dirty ugly hearts? (ni watu wangapi tunawajua wanavaa Hijab lakini mioyo yao sio misafi? ni wangapi wenu mnaigiza kuwa wasafi kwenye hizi siku 30 lakini miezi 11 iliyobaki ni waovu? )How many of you act so straight for these 30 days but the last 11 months your the worst monsters this world has ever seen’
ITAZAME HAPA CHINI VIDEO YA DIAMOND ALIVYOMUITA ZARI MBELE YA WATANZANIA..
ULIMIS KUONA JINSI DIAMOND NA ZARI WALIVYOPITA RED CARPET WHITE PARTY? TAZAMA VIDEO HAPA CHINI…