Monday, June 22, 2015

MAJONZI TUPU...IDADI YA WALIOFARIKI KWA POMBE YENYE SUMU WAFIKIA 90 HUKO NCHINI INDIA!


Waombolezaji wakiwa na picha ya mmoja wa watu waliofariki kwa kunywa pombe yenye sumu huko India.

Mwili wa mmoja wa watu waliofariki katika tukio hilo.

Vilio na simanzi miongoni mwa ndugu wa watu waliopoteza maisha.
ZAIDI ya watu 90 wamefariki dunia mpaka sasa baada huku wengine wakiwa hospitali baada ya kunywa pombe inayodaiwa kuwa na sumu huko mjini Mumbai nchini India.
Vifo vya awali viliripotiwa Jumatano iliyopita.
Naibu Kamishna wa Polisi katika mji huo amesema kuwa watu 150 walikunywa pombe hiyo inaodaiwa kuwa na sumu.
Credit: BBC