Sunday, June 14, 2015

MENEJA WA SNURA HK AMLILIA CHRISTIANI BELA NI BAADA YA KUPIGWA CHINI KTMA


ULIPONYIMWA TUZO WIMBO WA MAJANGA.. @snuramushi WIMBO AMBAO KILA MTANZANIA ALIUKUBALI.. WAKUBWA NA WADOGO.. WAGENI KWA WENYEJI... NILISHANGAA SANA.. NIKAHISI LEO TUKIO HILO LITAJILI TENA NA KWELI LIMEMKUTA BELA... NIMESHANGAZWA TENA KWA KUKOSA TUZO WIMBO WA NANI KAMA MAMA @bellachristian1 KILA MTU ANAJUA KAZI YA BELA MWAKA JANA WAPI KAPIGA SHOW KAIMBIA VITI? HAIJAWAHI TOKEA..

WHY LEO UNAMNYIMA TUZO JAMAN.. SASA TUNAKUZA VIPAJI TUNATUPA... ILA KUMBUKENI NDUGU ZANGU WAANDAAJI MISS TANZANIA ILIPOTEZA UMAARUFU WAKE WALIPOANZA LONGOLONGO ZAO.. NANYINYI MWAKA HUU... MNAELEKEA KIBRA....
sina team yoyote always sifungamani na upande wowote... Napenda gud music.Na Hak