Saturday, June 20, 2015

Nimekuwekea Maoni mbalimbali ya Watu Baada ya Davido kupost Bendera ya Tanzania Huko Instagram.

Muda si mrefu Davido kapost Picha ya bendera ya Taifa la Tanzania katika Mtandao wa Instagram, Jambo hili limegusa hisia za watu wengi.


Nimekuwekea Maoni mbalimbali ya watu, yaliotolewa na watu baada ya Davido kupost Picha hiyo...

PICHA ALIYOIPOST DAVIDO

Angalia maoni ya watu mbalimbali hapa chini....