Friday, June 26, 2015

Picha 5 za zamani za Jokate, Wema Sepetu na ya Q Chief na Diamond, Millard Ayo na JK na Lowassa

TBT Wema na Kanumba
Mwigizaji Wema Sepetu na Marehemu Kanumba.
Ni TBT!! Throwing back thursday ambapo huwa tunaitumia hii siku kushare zile picha zetu za zamani ambapo kwenye millardayo.com kila wiki tutakua tunakuletea picha mbalimbali za mastaa wakiwa kwenye pozi miaka kadhaa iliyopita.
TBT Diamond na Q Chief
Q Chief na Diamond Platnumz.
TBT Jokate 1
Mrembo Jokate Mwegelo kwenye udogo wake.
Hii picha nimeitoa kwenye Instagram page ya Dr. Cheni.
Ni gazeti la Nipashe June 13 1995, hii picha nimeitoa kwenye Instagram page ya Dr. Cheni.
TBT Millard Ayo
Mtu wako wa nguvu Millard Ayo enzi hizo