Thursday, June 18, 2015

POST NYINGINE YA WEMA SEPETU, MAREHEMU BABA YAKE NDIYE ALIYEMSOGEZA KWENYE SIASA

Wema Sepetu
  June 16 2015 Miss Tanzania 2015 na mwigizaji wa Bongo Movie, Wema Sepetualiingia kwenye Headlines baada ya kutangaza kwamba anahitaji kuingia kwenye siasa rasmi kabisa.
Post nyingine ni hii aliyoweka aa chache tu kwenye ukurasa wake @Instagram, haya ni mengine kuhusu yeye na Ubunge>>>”Naanza kwa kusema Alhamdulillah kwa kufikia hapa nilipo na nawashkuru sana wazazi wangu kwa kunileta duniani na kunilea katika maadili mazuri… Nawashkuru pia kwa kunipa Elimu na kunipa chochote nilichokitaka but more over kwa kunipa support kubwa katika uamuzi wowote niliokuwa nimeufanya… Kwanzia kushiriki Miss Tanzania mpaka pale nilipoamua kujiingiza katika maswala ya sanaa… Vitabu vya dini vimeandika inapaswa tumshukuru Mungu kwa kila jambo, liwe zuri au baya… Pale Mungu alipoamua kumchukua Daddy Sepetu wangu niliumia sana na nikawa nimeona kama maisha yangu yalirudi nyuma kidogo, maana ilinibidi nianze kuishi maisha ya No More Daddy Sepetu…. Maana nilikuwaga ni kipenzi cha Daddy wangu cuz I happen to be da last born, mwenyewe alikuwa akiniita Miss World wake…. Nakumbukaga My Late Daddy Sepetu alishawahi kuniambia kuwa nijaribu kujiingiza katika politics since yeye na siasa ilikuwa ni kama uji na mgonjwa… And I remember nilimwambia ,”Daddy Sepetu NO sitoweza” … Alikuwa heart broken sana maana alihisi nikijaribu ntaweza na kilichokuja kumvunja moyo ni nilipochukua uamuzi wa kufanya International Business na sio hata Political science au chochote kilichohusu Siasa nilipoenda Chuo… But hakukata tamaa… Akazidi kuniambia naweza na nilizidi kukataa… Daddy Sepetu wangu This is for u…. Leo hii nimejikuta mwenyewe nimefanya uamuzi mzito wa kujiingiza kwenye Siasa na kuona wat it has in store for me… Najua you are looking down on me smiling… Ila tu jua kuwa Your wife ambaye ni my Darling Mother nae pia amechangia kiasi kikubwa sana… Nawapenda sana wazazi wangu maana wanajua Whats Best for me… Haya sasa naingia vitani… Na sitokubali Defeat… Tho kuna mengi yanaweza tokea… Namkabidhi Allah yote…. Na niko tayari kwa chochote… Penye nia siku zote njia haiwezi kukosekana…#KidumuChamaChaMapinduzi#CCMOyeeee#GetAngry#GetInspired#2015AWalkToRemember#Nimethubutu“–>>@wemasepetu
Naanza kwa kusema Alhamdulillah kwa kufikia hapa nilipo na nawashkuru sana wazazi wangu kwa kunileta duniani na kunilea katika maadili mazuri… Nawashkuru pia kwa kunipa Elimu na kunipa chochote nilichokitaka but more over kwa kunipa support kubwa katika uamuzi wowote niliokuwa nimeufanya… Kwanzia kushiriki Miss Tanzania mpaka pale nilipoamua kujiingiza katika maswala ya sanaa… Vitabu vya dini vimeandika inapaswa tumshukuru Mungu kwa kila jambo, liwe zuri au baya… Pale Mungu alipoamua kumchukua Daddy Sepetu wangu niliumia sana na nikawa nimeona kama maisha yangu yalirudi nyuma kidogo, maana ilinibidi nianze kuishi maisha ya No More Daddy Sepetu…. Maana nilikuwaga ni kipenzi cha Daddy wangu cuz I happen to be da last born, mwenyewe alikuwa akiniita Miss World wake…. Nakumbukaga My Late Daddy Sepetu alishawahi kuniambia kuwa nijaribu kujiingiza katika politics since yeye na siasa ilikuwa ni kama uji na mgonjwa… And I remember nilimwambia ,”Daddy Sepetu NO sitoweza” … Alikuwa heart broken sana maana alihisi nikijaribu ntaweza na kilichokuja kumvunja moyo ni nilipochukua uamuzi wa kufanya International Business na sio hata Political science au chochote kilichohusu Siasa nilipoenda Chuo… But hakukata tamaa… Akazidi kuniambia naweza na nilizidi kukataa… Daddy Sepetu wangu This is for u…. Leo hii nimejikuta mwenyewe nimefanya uamuzi mzito wa kujiingiza kwenye Siasa na kuona wat it has in store for me… Najua you are looking down on me smiling… Ila tu jua kuwa Your wife ambaye ni my Darling Mother nae pia amechangia kiasi kikubwa sana… Nawapenda sana wazazi wangu maana wanajua Whats Best for me… Haya sasa naingia vitani… Na sitokubali Defeat… Tho kuna mengi yanaweza tokea… Namkabidhi Allah yote…. Na niko tayari kwa chochote… Penye nia siku zote njia haiwezi kukosekana… #KidumuChamaChaMapinduzi#CCMOyeeee#GetAngry#GetInspired#2015AWalkToRemember#Nimethubutu
A photo posted by wemasepetu�� (@wemasepetu) on Jun 17, 2015 at 2:52am PDT
Wema ni staa TZ, huku anakoenda kwenye siasa unaonaje mtu wangu iko sawa?