BERNARD MEMBE AMUONYA VIKALI MGOMBEA MWENZAKE WA URAIS...Kama umeshindwa kwenye masuala ya kisiasa usile njama kuwaondoa wenzako, huo ni ushetani
"Kama umeshindwa kwenye masuala ya kisiasa usile njama kuwaondoa wenzako, huo ni ushetani, kama tukianza kumomonyoa maadili ya uongozi kwa kuleta watu ilimradi watu heshima ya nchi yetu itashuka". Hii ni kauli iliyotolewa leo na aliyekuwa mtia nia ya Urais, Mh Bernad Membe