Friday, April 8, 2016

Wananchi Dar Wakaidi Agizo La Dart

1Daladala inayofanya shughuli zake katikati mwa Jiji la Dar ikionekana kupita katikati mwa barabara hizo.
2Bajaj ikikatiza kupita licha ya kuweka uzio wa kamba.
3Kibao kinachoonesha kuzuiliwa kupita kwa waendesha magari ya kawaida na bajaj eneo la Ubungo Stendi ya Mabasi.
4Mmoja wa wasimamizi wa Ujenzi wa Kampuni ya Strabag akiwaoneshea mkono kusimama  waendesha magari waliokuwa wakionekana kukaidi kutumia barabara hizo.
5Taswira ya barabara hizo.
    BAADHI ya  wananchi wa Jiji la Dar es Salaam, wameonekana kukaidi agizo la mradi wa mabasi yaendayo kasi jijini Dar es Salaam ’Dart’ baada ya kuweka vibao vinavyowatahadharisha wananchi kutokutumia barabara hizo kutokana na kuanza kutumika hivi karibuni