Thursday, July 16, 2015

BINTI AJITIA KWENYE JENEZA NA KUJIPIGA PICHA NA KUJIZUSHIA KIFO, NDUGU WAANGUA KILIO

Embu jifanye ww ndo umekufa apo alafu fkria je wangapi walio karbu yako wameshapoteza maisha na tumeshasahau then jifanye ndo ww ujione hivi nami nikifa ntasaulika kama yule na yule? Hivi n kweli nami ntakufa ntakua siongei tena dah.
Je nikifa itakuwaje uko niendako nn naenda kukikuta mbeleni
Je waliotangulia mbele yangu ntawaona au n nn knafuata juu ya maisha yangu baada ya kuiaga Dunia?
Ukipata jibu ndo ufanye masihara na kifo. Wanasema kuishi kwingi kuona mengi.
Sasa ww ‪#‎jacky‬ binti mdogo unaamua kujiweka ndan ya jeneza na kupanga na rafki zako wakupige picha kisha mnazisambaza waseme umekufa daah umefeli sana mshkaj wangu frm now I hate u coz umewaliza watu wengi sana au unaona raha unapoambiwa r.i.p jack duuh mademu wengine bhana cjui mpoje yaan au ulimbukeni cjui @official_tyianaa hajafa jaman kajizushia tu‪#‎Regrann‬