Sunday, July 19, 2015

EXCLUSIVE: TAZAMA PICHA ZA BASI JIPYA LA SHABIBY AMBAZO HUKUWAHI KUZIONA POPOTE PALE TANZANIA HII, so amazing

Basi jipya kabisa la Shabiby bus  ambalo linategemea kuanza safari zake kuanzani juma tano hii, safari zake zitakuwa ni kati ya Dodoma Dar na Dar Dodoma, Basi hili lina TV katika kila Seat na pia ina sehemu ya kuchager simu au Computer na pi lina Wi_fi ambayo ina speead ya hali juu, Nauli ya basi hizi ni shiling elfu 35000 kwa kila mtu, utapata huduma ya Chakula pamoja na vinywaji kwenye basi hili