Thursday, July 2, 2015

NOMA:HUYU MTOTO WA KAJALA HATARI SANA UNAAMBIWA ANAKIMBIZA VIDEMU VYOTE VISTAA HAPA MJINI

Nilikuwa napita pita zangu huko Google kutafuta
udaku nikakutana na hizi baadhi ya picha za
mtoto wa kajala na Producer wa Bongo Flava P

Funk , Ki ukweli japo bado ni mtoto sana kwa
umri ila ni mzuri wa sura miaka kadhaa ijayo
nahuhakika atakuwa moto wa kuotea
mbali ....Embu angalia hizo baadhi ya picha
uniambia kama na wewe unaona nachoona mimi