Wednesday, July 15, 2015

RIHANNA AONYESHA KITUKO HIKI HAPA

Mwanadada mrembo mwimbaji wa RnB, Rihanna.
New York, Marekani
MWANADADA mrembo mwimbaji wa RnB, Rihanna, 27,juzikati alitokelezea akiwa amevaa shati kubwa na kuonekana kituko kwa watu wengi.
Mbaya zaidi, demu huyo asiyeishiwa na vituko, alikuwa amefungua vishikizo karibu vyote vya shati hilo huku akiwa hajavaa blazia, hatua ambayo ilisababisha sehemu ya matiti yake kuonekana.
Kingine ni kwamba nguo hiyo ni ya kiume lakini kumbe alikuwa akionyesha mtindo mpya.