Wednesday, July 8, 2015

UNA TAFSIRI GANI KUHUSU KITENDO HIKI?BIBI HARUSI KUPEWA ZAWADI YA BENDERA YA CCM KATIKA HARUSI YAKE??

clip_image001Mwanahabari Tumain Msowoya akiwa na mumewe  siku ya harusi yao ambapo walipewa  zawadi ya kofia ya CCM kwa upande wa mwanaume na yeye  kupewa  bendera  ya CCM kama wanavyoonekana. Picha ya chiniclip_image001[6]
clip_image001[8]