Pamoja na serikali kulipigia kelele swala la ngoma hizi za kukesha, na zisizo na maadili sasa hivi imekuwa tofauti kidogo ngoma hizi zinapigwa mchana kweupe na watu kufanya vitendo vichafu mbele ya watoto kama inavyoonekana pichani, Noma hizi zimekuwa kero jijini dar, kwani sasa zimebadilishwa tu ratiba badala ya kufanyika usiku sasa hivi zinafanyika mchana kweupeeeee.