Kwenye baadhi ya nchi kuna kipindi flani huwa baadhi ya viwanja vya ndege vinawapa tabu ya kutua Marubani manake upepo unakuwa mkali na wenye nguvu licha ya ndege zenyewe kuwa kubwa.
Hiyo video ya kwanza hapo juu ni ya kiwanja ambacho kipo Portugal kwa kina Cristiano Ronaldo.