Sunday, August 16, 2015

Baada ya kutoka Mbeya, Arusha imempokea hivi Lowassa leo, yeye na watu wake wa CHADEMA… (Pichaz)

Screen Shot 2015-08-15 at 5.15.55 PM

Safari ya Mgombea Urais wa UKAWA, Edward Ngoyai Lowassa kutafuta wadhamini, baada ya kutoka Mbeya jana, leo August 15 2015 safari imeendelea Arusha.
Mkutano unaendelea katika Viwanja vya Tindinagi, Arusha na hizi ni pichaz ambazo ripota wa millardayo.com amenisogezea kilichoendelea toka asubuhi wakati watu wanaanza kusogea kwenye Viwanja hivyo.
Screen Shot 2015-08-15 at 5.20.26 PM
Screen Shot 2015-08-15 at 5.21.13 PM
Screen Shot 2015-08-15 at 5.21.29 PM
Screen Shot 2015-08-15 at 5.21.37 PM
Screen Shot 2015-08-15 at 5.21.45 PM
Watu wa Usalama kwenye kazi yao kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa.
Screen Shot 2015-08-15 at 5.21.54 PM
Screen Shot 2015-08-15 at 5.27.22 PM
Picha ya juu kabisa, watu wa Arusha walivyokuwa wakimsubiria LowassaViwanja vya Tindigani.

Screen Shot 2015-08-15 at 5.27.30 PM

Screen Shot 2015-08-15 at 5.27.38 PM
Screen Shot 2015-08-15 at 5.27.47 PM