Kwenye mtandao wa kijamii wa @Instagram kulikuwepo na uvumi kuwa ndoa ya dada wa Diamond, aitwaye Esma na Petit ipo kwenye ugomvi baina ya wawili hao.
Leo Soudy Brown kaamua kupiga Stori na Petit kutaka kujua ukweli wa taarifa hizo lakini mwenyewe hakuonesha utayari wa kuzungumzia undani wa ishu hiyo.
Ukibonyeza play hapa utamsikia Soudy na Petit Man ilivyokuwa kwenye U Heard.