Monday, June 2, 2014

HII INAHUSIKA, OBAMA AMPA SHAVU MSANII HUYU WA BONGO...JIONEE HAPA

moja ya vitu ambavyo watanzania tunajivunia ni uhusiano wetu mzuri na nchi ya marekani hasa raisi wa sasa barack obama na hata aliyepita george bush. ni miezi kadhaa imepita tokea barack obama alivyodondoka kutoka state na kuja kukutembelea hapa tanzania. moja ya kitu ambacho obama alishangwazwa nacho ni mapokezi aliyoyapata alivyokuja Tanzania na hii sasa tunaona imeanza kuzaa matunda baada ya obama kumfollow vanessa mdee kwenye ukurasa wake wa twitter.
vanessa mdee 2
Hili ni jambo la kujivunia kwa wasanii wetu wa Tanzania hasa pia ni jambo la kutia moyo kwa wasanii wapya ukizingatia kwamba vanessa mdee ni msanii ambaye hana muda katika game zaidi ya kushirikishwa kwenye kibao cha me and you alichoimba na ommy dimpoz na kuachia ngoma yake closer na ngoma yake mpya ya come over.
Je, Unadhani kwanini Obama ameamua kumfollow vanessa mdee ukizingatia kuna malegendary kibao kwenye hii game ya bongoflava?