Ni moja ya wasanii waliotajwa katika kipengele cha New Artist of the Year katika tuzo za Afrimma 2015, Katika kipengele hicho yuko na wasanii wengine kama Chef 187,Togar Howard,Phyno,Bisa Kdei,Castro, McGalaxy, DenG, Serge Beynaud, Ally Kiba na Jodi.
Watu wengi wamehoji kwanini Ally Kiba amewekwa katika Kipengele hiki, na wengine wakisema kuwa bora Ally Kiba atolewe katika kipengele hiki.
Hapa chini kuna maoni mbalimbali ya watu kuhusu inshu ambayo nimeyatoa katika page binafsi ya Msanii Ally Kiba.