Saturday, September 26, 2015

MWILI WA WAZIRI KOMBANI WAWASILI DAR

kombani1Aliyekuwa Mbunge wa Ulanga Mashariki kwa tiketi ya CCM na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bi. Celina Kombani.
KOMBANI (1)Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na wananchi wengine wakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Mwl. JK. Nyerere, kuupokea mwili wa marehemu Kombani.KOMBANI (2)KOMBANI (5)Viongozi wa Serikali na wananchi wengine wakisogea karibu na eneo la tukio.KOMBANI (3)Mwili wa Marehemu Bi. Celina Kombani ukiingizwa kwenye gari maalum ili kuelekea nyumbani kwake, Mikocheni, Dar.
1.Waombolezaji wakiwa uwanja wa ndege kupokea mwili wa aliyekuwa mbunge wa Ulanga Mashariki,Celine Kombani.Waombolezaji wakiwa uwanja wa ndege kupokea mwili wa marehemu,Celinea Kombani.2.Gari lililokuwa limebeba mwili, kutoka uwanja wa ndege kupeleka kwenye gali maalum lililokuwa limeandaliwa.Gari lililokuwa limebeba mwili wa marehemu kutoka uwanja wa ndege kuelekea kwenye gari maalum lililokuwa limeandaliwa.3.Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Anne Makinda (katikati) akiwa na waombolezaji wa eneo la uwanja wa ndege kusubiri mwili wa,Celine Kombani.Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda (katikati) akiwa na waombolezaji eneo la uwanja wa ndege kusubiri mwili wa marehemu.4.Askali wa Bunge wakibeba jeneza la mwili wa ,Celine Kombani mara baada ya kuwasili Uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu, Julius Nyerere jijini Dar.Askali wa Bunge wakibeba jeneza la mwili wa Celine Kombani mara baada ya kuwasili Uwanja wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere jijini Dar.
kombaniiWaombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Kombani, Mikocheni, DarKombani (2)IMG-20150926-WA0031Taswira ya msiba nyumbani kwa marehemu kombani, Mikocheni, Dar
Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Ulanga Mashariki kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bi. Celina Kombani umewasili muda huu katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mwili wa marehemu Kombani umewasili kwa ndege ya Shirika la Emirates, ukitokea nchini India ambako alienda kutibiwa na mauti yakamkuta huko, juzi Alhamisi.
Mwili umetolewa nyumbani kwa marehemu, Mikocheni, sasa umepelekwa kuhifadhiwa katika hospitali ya Lugalo ya jijini Dar.
Taarifa zaidi za msiba huu tutaendelea kukujuza.