Mtu wangu wa nguvu kama kawaida ripota wako wa nguvu nakusogezea karibu yako kila kitu kinachonifikia, hii ni ratiba za mechi za Ligi ya Mabingwa barani Ulaya zitakazochezwa Jumanne ya September 29 na Jumatano ya September 30. Hii ni ratiba ya mechi za pili za kila klabu inayocheza Jumanne na Jumatano.
Hii ni ratiba ya mechi za Jumanne ya September 29
Hii ni ratiba ya mechi za Jumatano ya September 30