Tuesday, October 6, 2015

LOWASSA AENDELEA NA KAMPENI MKOANI KILIMANJARO,AWEKA SHADA KWENYE KABURI LA MZEE KISUMO


Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Peter Kisumo huko Usangi Kilimanjaro, Peter Kisumo ni mmoja wa Waasisi wa TANU na ccm,Mzee Kisumo alifariki tarehe 3/8/2015, Mungu ailaze roho ya marehemu Peter Kisumo Amen.

Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiwasili nyumbani kwa marehemu Peter Kisumo Usangi Kilimanjaro na kukaribishwa na kaka wa marehemu Daniel Mchangila,kwa ajili ya kuhani msiba wa mmoja wa Waasisi wa TANU na ccm baada ya kuzuiliwa kufika msibani, Mzee Kisumo alifariki tarehe 3/8/2015, Mungu ailaze roho ya marehemu Peter Kisumo Amen