Monday, October 19, 2015

Magufuli Aendelea Na Kampeni Za Kufa Mtu Mkoani Mwanza

g
Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Mabatini jijini Mwanza ambapo aliwaambia kuwa atakapochaguliwa oktoba 25 atahakikisha anawatumikia Watanzania kwa nguvu zote na kuleta maendeleo.

Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Buzuruga jijini Mwanza wakati akiwa njiani kuelekea Magu kwenye mkutano wa kampeni.
 Hii ndio furaha ya watu wa Mwanza hata wenye taulo walijitokeza.
 Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kisesa wakati akiwa njiani kuelekea Magu.
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Alhaji Abdallah Bulembo akitoa maelekezo kwa wapiga kura wa CCM waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Magu.
 Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Magu kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Magu.