Mjumbe wa kamati ya ushindi ya CCM Ndugu.Mwingulu Nchemba,akizungumza na wananchi katika moja ya mikutano ya kampeni inayoendelea.
Akiwa mkoani Mbeya wilaya ya Ileje amewaasa watanzania kutunza kadi za kupigia kura,na kujitokeza kwenda kupiga kura,na Kumchangua Mgombea Urais kupitia CCM Dr John Magufuli.
Mwigulu Amemponda Lowassa akidai ni mtu mgonjwa ambaye hawezi kushika hata Maiki( kipaza sauti) huku akihoji itakuwaje siku akuhudhuria mikutano ya kimataifa?
Mwigulu Amemponda Lowassa akidai ni mtu mgonjwa ambaye hawezi kushika hata Maiki( kipaza sauti) huku akihoji itakuwaje siku akuhudhuria mikutano ya kimataifa?
Msikilize Mwingulu akizungumza.