Wednesday, October 7, 2015
Pichaz 20 kutoka kwenye mkutano wa Mgombea Urais wa CCM John Magufuli Arusha October 6.
Ziara za wagombea nafasi za Urais kwenye mikoa mbalimbali ya
Tanzania
bado inazidi kuchukua kasi,upande wa Chama Cha Mapinduzi na mgombea wake
John Magufuli
leo walikua wakizungumza na wapiga kura wa
Arusha
Mjini kwenye uwanja wa
SHEIKH AMRI ABEID
Yamoto Band kwenye stage wakitoa burudani kwa wakazi wa Arusha
Mgombea urais John
Pombe Magufuli
akizungumza na wapiga kura wa Mkoa wa Arusha
Newer Post
Older Post
Home