JIJI LETU

Wednesday, November 18, 2015

Wema Sepetu Ashtua Watu Aandika Ujumbe Mzito...Adai Siku zake za Kifo Zimekaribia

Baada ya Wema Sepetu Kutoa Misaada kwa Watoto wa Yatima wa Kituo cha Good Hope Orphanage in Usa-River Arusha..Aliandika Maneno haya kwa Uchungu kwenye ukurasa wake wa Instagram:

"Kumbuka kwamba kuna kifo... Iko siku utaitwa Marehemu.... Put that in your head... Im thinking my day is soon.... Alhamdulillah for everything tho...."

Je Unadhani Kwanini Kaandika Hivyo ?
at 10:25:00 AM
Newer Post Older Post Home

categories

AFYA AJALI AJIRA BIG BROTHER BONGO MOVIE Bongofleva Bongomovie BUNGENI ELIMU FASHION FIESTA FUMANIZI Habari Za Mitaani HIP HOP Instagram KIMATAIFA KITAIFA MAAJABU Madawa ya kulevya MAGAZETI MAPENZI MBELE MICHEZO RECORD SIASA TECHNOLOGY UDAKU UKATILI UTAFITI VITUKO WASANII WhatsApp Videos

Popular Posts

  • Video ya Aibu ya Wema Sepetu Yavuja!
  • VIDEO: Mama Maria Nyerere Ampigia Kampeni Dr. Magufuli
  • Mke Anasa Picha Chafu Za Hawara...Bofya Hapa Kuziona!
  • Vigogo TRA Wakutwa na Mamilioni Nyumbani Kwao
  • Kurasa za mwanzo na mwisho za Magazeti ya leo Jumamosi ya tarehe 26 April 2014
  • Utajiri kigogo NHC gumzo
  • MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI JULY 11 2015
  • MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA STASHAHADA MBALIMBALI CHUO KIKUU CHA DODOMA YAKO HAPA..!! BOFYA HAPA
  • VIDEO:TAZAMA WANAFUNZI HAWA WAKIYAKATA MAUNO NI BORA WANGEENDA TWANGA PEPETA KIPAJI WANACHO
  • MH! BABA LEVO AAMUA KUISHI NA MKE WA JAMAA WAKE KISA ANAMDAI LAPTOP
Awesome Inc. theme. Powered by Blogger.