Faiza Ally Awaomba Radhi Watanzania ila Kaacha Ujumbe huu:
Kutoka kwa Faiza Ally
"Hakuna njia rahisi ya
kuvumbua maovu ya watu....niko tayari kupata misukosuko ya aina yoyote ili
kuleta mabadiliko kwa mateso wanayo pitia wanawake na watoto... Ntasimama
kwenye ukweli hata kama naumia kutukanwa na wamama wasio jielewa lkn mwisho wa
siku ntawapa ujasiri wa kusimamia haki zenu na watoto wenu....NAJUA NIMEKOSA KUPOST
MWANANGU AKIWA ANA LIA..... Lkn hiyo ndio ilikua njia pekee ya kuonyesha umma
kuwa kuna haya... Mtoto ni jukumu la baba na mama ! Hata kama wamama tunajikaza
kutunza watoto wetu lkn mwisho wa siku tuna umia na tunahitaji misaada kutoka
kwa wenzi wetu.... Na sio mahitaji tu na mapenzi ya baba na
mtoto....Najua nchi yangu bado wana wake wako nyuma ktk kuungana na kujisimamai
lkn mm ntajitolea na najua haita kuwa faida ya mmoja itakua ya wengi... Na hata
wanaume wengine watajifunza kupitia hapa! Ntasimama... Ntawajibika... Na
ntashiriki... Ikiwa binafsi! Serekali au makampuni binafsi kwa ajilia yangu na
wanawake wengine ......KWA MTANZANIA YOYOTE NILIE MUUMIZA KUPITIA VIDEO YA
SASHA NAOMBA RATHI LKN NAOMBA MSIANGALIE TU VIDEO ANGALIENI NA MAMBO MENGINE YA
MUHIMU KTK HILI....! #HAKUNA JAMBO RAHISI..." Faiza Ally