Ali Kiba Uwanjani |
Ali kiba tangu akiwa mdogo alikuwa na ndoto za
kuwa mchezaji mpira maarufu Bongo na mpira alikuwa anauweza hasa mpaka kutaka
kusajiliwa na timu moja kubwa..
Kiba amefunguka kwanini aliacha mpira;
Kiba amefunguka kwanini aliacha mpira;
‘’Sababu ilikuwa wimbo wangu wa Cindelela ulikuwa
umehit ikabidi niachane na mpira nikaanza kupiga hela Tanzania nzima
nikazunguuka,lakini kwenye mpira nilikuwa katika form,nikashindwa kuendelea
nilikosa muda kabisa wa kucheza mpira,’’Kiba.