Mwasiti kazitoa sababu zake kwanini hataki kuolewa…(+AUDIO)
Nakukutanisha na mkali wa Bongo fleva Mwasiti ambaye pia ni mmiliki wa hit song ya ‘Serebuka‘ na hapa anayajibu maswali ikiwa ni pamoja na kuelezea baadhi ya mambo usiyoyajua toka kwake na kwanini hataki kuolewa.