Tuesday, February 16, 2016

Kwishneee!!!!!! Aunt Ezekiel Amwagana Na Iyobo Watu Waduwaaaaa



 Msanii wa filamu za Bongo Aunty Ezekiel maarufu kwa jina la mama Cookie siku hizi, ameonekana akiwa mbalina mwandani wake Moze Iyobo, na kuibua hisia kuwahuenda wawili hao wamemwagana siku ya valentineTukio hilo limetokea kwenye sherehe za uzinduzi waalbam ya msanii Mirror ambaye yuko chini yamwanadada Wema Sepetu, usiku wa siku ya wapendanao valentine day na kuwafanya watu wengi wawashangae, ndipo  camera  za   EATV zilipowanasa baba na mama Cookie wakiwa mbali mbali, kama hawajuani' wakiwa ukumbini hapo Aunty Ezekiel mama Cookie alionekana akiwa close na Idris  Sultan ambaye ni shemeji yake kwa shoga yake kipenzi wema  Sepetu, huku Moze Iyobo baba Cookie  akionekana akiwa na marafiki zake, ilihali siku hiyo ilikuwa maalum kwa wapendana