DIVA wa muziki wa Pop, Beyonce Knowlese amewafanyia sapraiz mashabiki wake baada ya kuachia ghafla video ya wimbo wake mpya wa Formation akiwa sambamba na mtoto wake, Blue Ivy.
Katika video hiyo Blue Ivy anaonekana akijichanganya na watoto wenzake.