Sunday, December 28, 2014

PICHA ZINATISHA:MMILIKI WA SAMAKI SAMAKI 'NYUMBANI PARK' AVAMIWA KUJERUHIWA NA KUPORWA FEDHA MOROGORO!!!

Sehemu alizoathirika
Mkurugenzi mtendaji wa Nyumbani Park & Samaki Sport Farida mess Matlou alivamiwa na majambazi na kumjeruhi. Tukio hilo la aina yake lilitokea wiki iliyopita usiku wa tarehe 19 kuamkia 20 maeneo ya nyumbani kwake Kihonda.
Kwa taarifa zilizofikia mtandao huu ni kwamba tayari watu wawili wamekatwa kuhusishwa na tukio hilo Mkurugenzi huyu alivamiwa usiku wa saa saba!