Ratiba ya Mechi za Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya leo 5 April
Mechi za Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya, zinaendelea leo 5 April katika viwanja mbali mbali mechi ambayo itavuta mashabiki wengi ni Barcelona na Atlético Madrid mechi hiyo itapigwa katika uwanja Camp Nou, Mechi nyingine itakuwa ni kati ya Bayern München ambayo itawaalika Benfica kutoka Portugal.