Diamond amefunguka hivi kwa kuweka picha hiyo hapo juu ya wema akiwa hana nywele yani kipara. Na kuandika Maneno haya: "So someone decided to go Bald...Lol! ��...what can i say, i love her either way...#Mahaba_niue #Kipara_ninyonge"![clip_image003[6] clip_image003[6]](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhmA-YDZ6NQw80INssiyrrRy2xcJTWFesDeGNNP4j6GNbI9XGmvEgEh8czM4MMJaM5Kd-LdvNmZwEkNQw36gpJ9gpTyi7vlGpWUx_wOCXQGT6hjAoVLEbXV6FC2WyxuIszNEstA-BDKK2I/?imgmax=800)
Baada ya Post hiyo naye wema sepetu aliweza kujibu kwa kuweka post yenye picha hii hapa na kusema hivi : “I just luv you Naseeb wangu”hakika hawawatu wanapendana kwa kweli tungoje Ndoa tu sasa kilichobaki……