Sunday, April 5, 2015

SUPER STAA LEMUTUZ ASEMA SABABU INAYOMFANYA ACHELEWA KUOA MPAKA SASA


Lemutuz Katika Ukurasa wake Amefunguka na kutoa sababu moja wapo ambayo imemfanya mpaka sasa hajachukua uamuzi wa kuwa na jiko :

'Kuna vitu siviamini kabisa in mylife mojawapo ni kufanyiwa anything na Mbebezz wako cause siku zote ninaamini Mwanamme ndiye anayetakiwa kumfanyia Mbebezz...kuna wakati nilikuwa nmdate mbebezzz mmoja hapa town akaninunulia Benzi so aliponiletea I was like are U kidding me or what?.....yaaani unataka niwe mtumwa wako hahah ni LE MARIOZZZZ hahaha NO way if anything Mbebezzz ninunulie labda perfume tu basi lakini zaidi ya hapo hapana.....na ndio maana ninachelewa kuoa cause nataka nikifikia siku ya kuoa niwe na kila kitu on my own sio ohhh nilikukuta huna kitu gademeti hahaha no please....Na hata mbebezzz nitakaye muoa Mali yangu ni yake ila mali yake sihiitaji U know sijawahi na I wll never be LE MARIOZZZZ hata nilipokuwa mbelezzz Majuu mambo ya kuoa nipate makaratasi niliyakataa kata kata Mamen usiwe mwepesi sana kupokea pokea vitu vya mabebezzz sometimes hujui kanunuliwa na nani so wote mtaishia kuwa watumwa wa anayemnunulia hapa mjini U know hahaha jioni njemazzz! - le Mutuz