Wednesday, March 19, 2014

Snura mama wa Majanga anaswa kwa Sangoma ( Mganga wa Jadi ) akiwa amebebeshwa vibuyu ..



Msanii  mkongwe  nchini  maarufu  kwa  jina  la   Snura  Mushi  au  Snura  Majanga  amenaswa  live  akiwa  kwa  sangoma ( mganga  wa  jadi )  akisafisha  nyota  yake  kwa  lengo  la  kujiongezea  mashabiki......

Tazama  ushuhuda  wa  picha  hapo  chini....