Saturday, May 31, 2014

Hamisa Mobeto Afunguka kuhusiana na mahusiano yake na D’banj....!BOFYA HAPA

“Am not dating D’banj ” ….hivyo ndio alivyoanza kusema Hamisa Mobeto. Hamisa amefunguka kuhusiana na rumours za yeye kutoka na D’banj na kusema Haya  “sijatoka na huyu Msanii ila tulikutana Nigeria kwenye kazi na ndio tukapiga hiyo picha huku tukiongea mawili matatu kuhusiana na Kazi, nothing else kwani nina mtu wangu anaenijali na kunithamini kwa nini nimsaliti jamani…”

Hamisa-Mobeto-Hot-and-sexy-vibe-co-tz
Hamisa-Mobeto-Dbanj-vibe-co-tz
Mkali huyo mwenye  kwasasa  ana-deal nene na  kampuni ya nywele ya Merry Light inayokuja kwa kasi katika kusapoti warembo wetu kwa sasa iliyopo maeneo ya Biafra Kinondoni. Pia Mkali huyo ana project mpya itakayokua sokoni soon  amekataa kufunguka kwa sasa na ukitaka kujua zaidi kuwa karibu na Vibe sooon utajua Hamisa anakuja na nini kuwashangaza watanzania.