Hizi hapa picha za Lady JayDee zakwenye jarida la VIBE zinazoleta zogo
Mwimbaji na Mwanamuziki wa Bongo Fleva ambaye anatikisa hapa Tanzania kwa vibao mbali mbaliJudith Wambura
aka LadyJay Dee amepost picha kwenye mitandao ya kijamii ambazo zita kuwepo kwenye jarida la VIBE.
Story ambayo itahusu 'Undisputed Champion' kwenye jarida la VIBE litakalo toka tarehe 4 June,2014.
Story ambayo itahusu 'Undisputed Champion' kwenye jarida la VIBE litakalo toka tarehe 4 June,2014.