Miongoni mwa mabalozi wapya kutoka mtandao wa Airtel ni pamoja na Ney wa mitego,stori ambayo imemfikia Soudy Brown ni kwamba mpenzi wake ametaka kugawana vitu na Ney wa Mitego ambavyo amevipata wakiwa pamoja,maongezi ya Ney wa Mitego alipoulizwa na Soudy Brown juu ya tuhuma hizi kama ni za kweli hiki ndicho alichojibu.
Bonyeza play kumsikiliza Ney hapa.
-milard ayo