VIDEO:TAZAMA alichokifanya Diamond Platnumz kwenye show ya London May 17 2014
Diamond alikwenda London Uingereza kushoot video ya kolabo yake mpya na Iyanya lakini pia akafanya show kwa wabongo na fans wake wengine kwenye mji huohuo.
Enjoy kutazama alichokifanya kwenye hii video hapa chini…