Mastaa Jay Z na mkewe Beyonce ambao ni marafiki wa karibu wa Kanye West hawakuhudhuria harusi ya kifahari ya staa huyo aliyemuoa Kim Kardashian jana kwenye ukumbi wa Fort Belvedere nchini Italia. Mbali na mastaa hao, pia kaka wa bibi harusi Kim, Rob naye aliingia mitini.