Tuesday, May 20, 2014

Maelfu ya wananchi wajitokeza kumzika msanii Adam Kuambiana katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar..SOMA ZAIDI


Mke wa marehemu Janeth Rithe,akiweka shada la maua kwenye kabuli la mmewe.

Jacob Steven 'JB',akiweka shada kwenye kaburi hilo
Msanii wa fialmu Bongo,Mariam akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Kuambiana.


Mwili huo uliyondani ya jeneza ukizamishwa shimoni tayari kwa kutoa heshima za mwisho

Baadhi ya mafundi wakichanganya zege tayari kwa kumsitiri marehemu Kuambiana




JB,akiwa chini baada ya kuzidiwa na kudondoka wakati akitoa wasaa wa marehemu Adam Kuambiana.
Baadhi ya mabaunsa na wasanii wenzake wakimnyanyua JB,baada ya kuzidiwa na kudondoka chini.