Tuesday, May 20, 2014

MALICK BANDAWE AKIRI KUMTOLEA MAHARI ROSE NDAUKA, NDOA YAO HIVI KARIBUNI...SOMA ZAIDI

Wiki iliyopita tuliweka habari ya Rose Ndauka kutolewa mahari na msanii mwenzake Malick Bandawe ambaye wamekuwa katika uhusiano kwa muda mrefu na kufanikiwa kupata mtoto. Habari hizo zilitoka kwa chanzo cha karibu na wawili hao.Baada ya kupata habari hizo Swahiliworldplanet iliamua kumuuliza Malick
Bandawe "Chiwa Man" kuwa ni kweli amemtolea Rose mahari na kama ni kweli harusi yao inatarajiwa kuwa lini?. Malick alijibu " Ndoa yetuinafuata soon kama ulivyoona kuwa mahari tayari tuombe uzima ila ni mwaka huu"