Mb Dog ameachia video ya single yake mpya ‘Bado Umenuna’ ikiwa ndio video ya kwanza baada ya kurejea nyumbani (Tip Top Connection)...BOFYA HAPA KUITAZAMA
Mb Dog ameachia video ya single yake mpya ‘Bado Umenuna’ ikiwa ndio video ya kwanza baada ya kurejea nyumbani (Tip Top Connection)toka alivyojiondoa miaka kadhaa iliyopita. Video imeongozwa na Aby Kaz. Itazame hapa