Wednesday, May 21, 2014

MGANGA WA KIENYEJI AKIONA CHA MTEMA KUNI BAADA YA KUTAKA KUJARIBU KUMTAPELI MWANAJESHI

mgangaaWiki iliyopita tulimaliza Hekaheka ambayo ilimuhusisha Mama ambaye alifiwa na mtoto wake kisha baadae alienda kwa Mganga akaambiwa kuwa mtoto wake hakuwa amefariki kama alivyojua yeye bali alichukuliwa kishirikina na kwamba yuko sehemu akiwa hai.
Sasa leo stori kama hiyo imemtokea mganga mwingine ambaye imebainika kuwa feki baada ya kwenda kwa Mwanajeshi ambaye alifiwa na mtoto wake kisha kumwambia mtoto hajafa, sasa sikiliza kilichomkuta kwa kubonyeza play hapa chini…


-Milard ayo