Mwili wa mtu huyo ukielea kwenye maji ya mto Mzinga.
Mwili baada ya kutolewa nje kabla ya kuzikwa na jiji.
************
Mwili wa mtu mmoja ambaye hakufahamika jina lake umenaswa ukielea ndani ya Mto Mzinga maeneo ya Kongowe jijini Dar es Salaam.....
Mwili wa mtu huyo ulipatikana baada ya wakazi wa eneo hilo kudai kuwa harufu kali ilikuwa ikitoka eneo hilo na ndipo waligundua maiti hiyo ambayo waliikuta ikiwa imeharibika kwa kiasi kikubwa.