Thursday, May 29, 2014

PICHA:Muonekano Mpya wa Mwigizaji Lulu Michael Baada ya Kuachana na Mawigi

Huyu si mwingine bali ni mdogo wetu aliekulia kwenye TV (kwasisi wa miaka ya 80 )...yaaani ana  TV personality toka LONG , kwa hapa Bongo ni staa wetu tumependwa na wengi (pamoja na mimi toka kitambo)anaitwa Elizabeth Michel  a k a Lulu...Ameamua kubali kidogo muonekano baada ya kuvaa MIWIGI kwa muda sasa.