Saturday, May 31, 2014

PIGO TENA BONGO MUVI: GEORGE TYSON AFARIKI DUNIA

George Tyson enzi za uhai wake.
Marehemu Tyson akiwa na Monalisa pamoja na mwanae.
NI pigo tena kwa tasnia ya Bongo Muvi, mwongozi filamu Bongo na aliyekuwa mume wa staa wa filamu Bongo, Yvonny Cherry 'Monalisa', George Tyson amefariki dunia baada ya kupata ajali mbaya ya gari eneo la Morogoro akitokea mkoani Dodoma. Tyson alikuwa ameambatana na watu kadhaa katika safari hiyo.